Wakolosai 4:6
Colossians 4:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Maneno yenu yawe yamejaa neema siku zote, yanayofaa, ili mjue jinsi iwapasavyo na inavyofaa kumjibu kila mtu.
Colossians 4:6 in English
Colossians 4:6 · Berean Standard Bible
Let your speech always be gracious, seasoned with salt, so that you may know how to answer everyone.
Context
4Ombeni ili nipate kuitangaza Injili kwa udhahiri kama ipasavyo kunena. 5Enendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati. 6Maneno yenu yawe yamejaa neema siku zote, yanayofaa, ili mjue jinsi iwapasavyo na inavyofaa kumjibu kila mtu. 7Tikiko atawaambia habari zangu zote. Yeye ni ndugu mpendwa, mtendakazi mwaminifu na mtumishi mwenzangu katika Bwana. 8Nimemtuma kwenu kwa madhumuni haya ili mpate kufahamu hali yetu, na pia awatie moyo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.