Wakolosai 4:5
Colossians 4:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Enendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati.
Colossians 4:5 in English
Colossians 4:5 · Berean Standard Bible
Act wisely toward outsiders, redeeming the time.
Context
3Pia tuombeeni na sisi ili Mungu atufungulie mlango wa kunena, ili tupate kuitangaza siri ya Kristo, ambayo kwa ajili yake pia mimi nimefungwa. 4Ombeni ili nipate kuitangaza Injili kwa udhahiri kama ipasavyo kunena. 5Enendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati. 6Maneno yenu yawe yamejaa neema siku zote, yanayofaa, ili mjue jinsi iwapasavyo na inavyofaa kumjibu kila mtu. 7Tikiko atawaambia habari zangu zote. Yeye ni ndugu mpendwa, mtendakazi mwaminifu na mtumishi mwenzangu katika Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.