Amosi 7:17
Amos 7:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana: “ ‘Mke wako atakuwa kahaba mjini, nao wana wako na binti zako watauawa kwa upanga. Shamba lako litapimwa na kugawanywa, na wewe mwenyewe utafia katika nchi ya kipagani. Nayo Israeli kwa hakika itakwenda uhamishoni, mbali na nchi yao.’ ”
Amos 7:17 in English
Amos 7:17 · Berean Standard Bible
Therefore this is what the LORD says: ‘Your wife will become a prostitute in the city, and your sons and daughters will fall by the sword. Your land will be divided by a measuring line, and you yourself will die on pagan * soil. And Israel will surely go into exile, away from their homeland.’”
Context
15Lakini Bwana akanitoa kutoka kuchunga kondoo na kuniambia, ‘Nenda, ukawatabirie watu wangu Israeli.’ 16Sasa basi, sikieni neno la Bwana. Ninyi mnasema,
“ ‘Usitabiri dhidi ya Israeli,
na uache kuhubiri dhidi ya nyumba ya Isaki.’ 17“Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana:
“ ‘Mke wako atakuwa kahaba mjini,
nao wana wako na binti zako watauawa kwa upanga.
Shamba lako litapimwa na kugawanywa,
na wewe mwenyewe utafia katika nchi ya kipagani.
Nayo Israeli kwa hakika itakwenda uhamishoni,
mbali na nchi yao.’ ”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.