Amosi 5:27
Amos 5:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa sababu hiyo nitawapeleka uhamishoni mbali kupita Dameski,” asema Bwana, ambaye jina lake ni Mungu Mwenye Nguvu Zote.
Amos 5:27 in English
Amos 5:27 · Berean Standard Bible
Therefore I will send you into exile beyond Damascus,”* says the LORD, whose name is the God of Hosts.
Context
25“Je, mliniletea dhabihu na sadaka
kwa miaka arobaini kule jangwani,
ee nyumba ya Israeli? 26Mmeyainua madhabahu ya mfalme wenu,
Sikuthi mungu wenu mtawala,
na Kiuni mungu wenu wa nyota,
ambao mliwatengeneza wenyewe. 27Kwa sababu hiyo nitawapeleka uhamishoni mbali kupita Dameski,”
asema Bwana, ambaye jina lake ni Mungu Mwenye Nguvu Zote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.