Native Bible

Amos 5:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mmeyainua madhabahu ya mfalme wenu, Sikuthi mungu wenu mtawala, na Kiuni mungu wenu wa nyota, ambao mliwatengeneza wenyewe.

Amos 5:26 in English

Amos 5:26 · Berean Standard Bible

You have taken along Sakkuth your king and Kaiwan your star god,* the idols you made for yourselves.

Context

24Lakini acheni haki itiririke kama mto, na uadilifu uwe kama kijito kisichokauka! 25“Je, mliniletea dhabihu na sadaka kwa miaka arobaini kule jangwani, ee nyumba ya Israeli? 26Mmeyainua madhabahu ya mfalme wenu, Sikuthi mungu wenu mtawala, na Kiuni mungu wenu wa nyota, ambao mliwatengeneza wenyewe. 27Kwa sababu hiyo nitawapeleka uhamishoni mbali kupita Dameski,” asema Bwana, ambaye jina lake ni Mungu Mwenye Nguvu Zote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.