Amosi 3:2
Amos 3:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ni ninyi tu niliowachagua kati ya jamaa zote za dunia; kwa hiyo nitawaadhibu kwa ajili ya dhambi zenu zote.”
Amos 3:2 in English
Amos 3:2 · Berean Standard Bible
“Only you have I known * from all the families of the earth; therefore I will punish you for all your iniquities.”
Context
1Sikilizeni neno hili alilosema Bwana dhidi yenu, enyi watu wa Israeli, dhidi ya jamaa nzima niliowapandisha toka Misri: 2“Ni ninyi tu niliowachagua
kati ya jamaa zote za dunia;
kwa hiyo nitawaadhibu
kwa ajili ya dhambi zenu zote.” 3Je, watu wawili hutembea pamoja
wasipokubaliana kufanya hivyo? 4Je, simba hunguruma katika kichaka
wakati hana mawindo?
Aweza kuvuma katika pango
wakati ambao hajakamata chochote?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.