Native Bible

Amos 3:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sikilizeni neno hili alilosema Bwana dhidi yenu, enyi watu wa Israeli, dhidi ya jamaa nzima niliowapandisha toka Misri:

Amos 3:1 in English

Amos 3:1 · Berean Standard Bible

Hear this word that the LORD has spoken against you, O children of Israel, against the whole family that I brought up out of the land of Egypt:

Context

1Sikilizeni neno hili alilosema Bwana dhidi yenu, enyi watu wa Israeli, dhidi ya jamaa nzima niliowapandisha toka Misri: 2“Ni ninyi tu niliowachagua kati ya jamaa zote za dunia; kwa hiyo nitawaadhibu kwa ajili ya dhambi zenu zote.” 3Je, watu wawili hutembea pamoja wasipokubaliana kufanya hivyo?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.