Native Bible

Acts 7:54 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waliposikia haya wakaghadhibika, wakamsagia meno.

Acts 7:54 in English

Acts 7:54 · Berean Standard Bible

On hearing this, the members of the Sanhedrin were enraged,* and they gnashed their teeth at him.

Context

52Je, kuna nabii gani ambaye baba zenu hawakumtesa? Waliwaua wale waliotabiri habari za kuja kwake yule Mwenye Haki. Nanyi sasa mmekuwa wasaliti wake na wauaji. 53Ninyi ndio mlipokea sheria zilizoletwa kwenu na malaika, lakini hamkuzitii.” 54Waliposikia haya wakaghadhibika, wakamsagia meno. 55Lakini yeye Stefano, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, alikaza macho mbinguni, akaona utukufu wa Mungu, na Yesu akiwa amesimama mkono wa kuume wa Mungu. 56Akasema, “Tazameni! Naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama upande wa kuume wa Mungu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.