Native Bible

Acts 7:52 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, kuna nabii gani ambaye baba zenu hawakumtesa? Waliwaua wale waliotabiri habari za kuja kwake yule Mwenye Haki. Nanyi sasa mmekuwa wasaliti wake na wauaji.

Acts 7:52 in English

Acts 7:52 · Berean Standard Bible

Which of the prophets did your fathers fail to persecute? They even killed those who foretold the coming of the Righteous One. And now you are His betrayers and murderers—

Context

50Je, mkono wangu haukufanya vitu hivi vyote?’ 51“Enyi watu wenye shingo ngumu, msiotahiriwa mioyo wala masikio, daima hamwachi kumpinga Roho Mtakatifu, kama walivyofanya baba zenu. 52Je, kuna nabii gani ambaye baba zenu hawakumtesa? Waliwaua wale waliotabiri habari za kuja kwake yule Mwenye Haki. Nanyi sasa mmekuwa wasaliti wake na wauaji. 53Ninyi ndio mlipokea sheria zilizoletwa kwenu na malaika, lakini hamkuzitii.” 54Waliposikia haya wakaghadhibika, wakamsagia meno.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.