Matendo 7:53
Acts 7:53 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninyi ndio mlipokea sheria zilizoletwa kwenu na malaika, lakini hamkuzitii.”
Acts 7:53 in English
Acts 7:53 · Berean Standard Bible
you who received the law ordained by angels, yet have not kept it.”
Context
51“Enyi watu wenye shingo ngumu, msiotahiriwa mioyo wala masikio, daima hamwachi kumpinga Roho Mtakatifu, kama walivyofanya baba zenu. 52Je, kuna nabii gani ambaye baba zenu hawakumtesa? Waliwaua wale waliotabiri habari za kuja kwake yule Mwenye Haki. Nanyi sasa mmekuwa wasaliti wake na wauaji. 53Ninyi ndio mlipokea sheria zilizoletwa kwenu na malaika, lakini hamkuzitii.” 54Waliposikia haya wakaghadhibika, wakamsagia meno. 55Lakini yeye Stefano, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, alikaza macho mbinguni, akaona utukufu wa Mungu, na Yesu akiwa amesimama mkono wa kuume wa Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.