Matendo 7:48
Acts 7:48 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Hata hivyo, Yeye Aliye Juu Sana hakai kwenye nyumba zilizojengwa kwa mikono ya wanadamu. Kama nabii alivyosema:
Acts 7:48 in English
Acts 7:48 · Berean Standard Bible
However, the Most High does not dwell in houses made by human hands. As the prophet says:
Context
46ambaye alipata kibali kwa Mungu, naye akaomba kwamba ampatie Mungu wa Yakobo maskani. 47Lakini alikuwa Solomoni ndiye alimjengea Mungu nyumba. 48“Hata hivyo, Yeye Aliye Juu Sana hakai kwenye nyumba zilizojengwa kwa mikono ya wanadamu. Kama nabii alivyosema: 49“ ‘Mbingu ni kiti changu cha enzi,
nayo dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu.
Mtanijengea nyumba ya namna gani?
asema Bwana.
Au mahali pangu pa kupumzikia patakuwa wapi? 50Je, mkono wangu haukufanya vitu hivi vyote?’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.