Matendo 5:20
Acts 5:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Nendeni, mkasimame Hekaluni mkawaambie watu maneno yote ya uzima huu mpya.”
Acts 5:20 in English
Acts 5:20 · Berean Standard Bible
“Go, stand in the temple courts * and tell the people the full message of this new life.”
Context
18Wakawakamata mitume na kuwatia gerezani. 19Lakini wakati wa usiku, malaika wa Bwana akaja, akafungua milango ya gereza na akawatoa nje. Akawaambia, 20“Nendeni, mkasimame Hekaluni mkawaambie watu maneno yote ya uzima huu mpya.” 21Waliposikia haya wakaenda Hekaluni alfajiri wakaendelea kufundisha watu.
Kuhani mkuu na wale waliokuwa pamoja nao walipowasili, alikusanya baraza na wazee wote wa Israeli wakatuma wale mitume waletwe kutoka gerezani. 22Lakini wale walinzi wa Hekalu walipokwenda gerezani hawakuwakuta mitume mle. Kwa hiyo wakarudi na kutoa habari.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.