Matendo 5:18
Acts 5:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakawakamata mitume na kuwatia gerezani.
Acts 5:18 in English
Acts 5:18 · Berean Standard Bible
and arrested the apostles and put them in the public jail.
Context
16Pia watu wakakusanyika kutoka miji iliyokuwa karibu na Yerusalemu, wakileta wagonjwa na watu walioteswa na pepo wachafu. Hao wote wakaponywa. 17Kisha kuhani mkuu na wenzake wote waliokuwa pamoja naye, waliokuwa wa kundi la Masadukayo, wakajawa na wivu. 18Wakawakamata mitume na kuwatia gerezani. 19Lakini wakati wa usiku, malaika wa Bwana akaja, akafungua milango ya gereza na akawatoa nje. Akawaambia, 20“Nendeni, mkasimame Hekaluni mkawaambie watu maneno yote ya uzima huu mpya.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.