Native Bible

Acts 5:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakuna mtu mwingine aliyethubutu kuambatana nao ijapokuwa waliheshimiwa sana na watu.

Acts 5:13 in English

Acts 5:13 · Berean Standard Bible

Although the people regarded them highly, no one else dared to join them.

Context

11Hofu kuu ikalipata kanisa lote pamoja na watu wote waliosikia juu ya matukio haya. 12Mitume wakafanya ishara nyingi na miujiza miongoni mwa watu. Walioamini wote walikuwa wakikusanyika katika ukumbi wa Solomoni. 13Hakuna mtu mwingine aliyethubutu kuambatana nao ijapokuwa waliheshimiwa sana na watu. 14Hata hivyo, waliomwamini Bwana wakazidi kuongezeka, wanaume na wanawake. 15Hata wakawa wanawaleta wagonjwa na kuwalaza kwenye magodoro na kwenye vitanda barabarani ili yamkini Petro akipita kivuli chake kiwaguse baadhi yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.