Native Bible

Acts 5:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mitume wakafanya ishara nyingi na miujiza miongoni mwa watu. Walioamini wote walikuwa wakikusanyika katika ukumbi wa Solomoni.

Acts 5:12 in English

Acts 5:12 · Berean Standard Bible

The apostles performed many signs and wonders among the people, and with one accord the believers gathered together in Solomon’s Colonnade.

Context

10Saa ile ile akaanguka chini miguuni mwake na kufa. Nao wale vijana wakaingia, wakamkuta amekufa, wakamchukua wakamzika kando ya mumewe. 11Hofu kuu ikalipata kanisa lote pamoja na watu wote waliosikia juu ya matukio haya. 12Mitume wakafanya ishara nyingi na miujiza miongoni mwa watu. Walioamini wote walikuwa wakikusanyika katika ukumbi wa Solomoni. 13Hakuna mtu mwingine aliyethubutu kuambatana nao ijapokuwa waliheshimiwa sana na watu. 14Hata hivyo, waliomwamini Bwana wakazidi kuongezeka, wanaume na wanawake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.