Native Bible

Acts 4:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kesho yake, viongozi wa Kiyahudi, wazee na walimu wa sheria wakakusanyika Yerusalemu.

Acts 4:5 in English

Acts 4:5 · Berean Standard Bible

The next day the rulers, elders, and scribes assembled in Jerusalem,

Context

3Wakawakamata Petro na Yohana na kuwatia gerezani mpaka kesho yake kwa kuwa ilikuwa jioni. 4Lakini wengi waliosikia lile neno waliamini, idadi yao ilikuwa yapata wanaume 5,000. 5Kesho yake, viongozi wa Kiyahudi, wazee na walimu wa sheria wakakusanyika Yerusalemu. 6Walikuwepo kuhani mkuu Anasi, Kayafa, Yohana, Iskanda, na wengi wa jamaa ya kuhani mkuu. 7Baada ya kuwasimamisha Petro na Yohana katikati yao, wakawauliza, “Ni kwa uwezo gani au kwa jina la nani mmefanya jambo hili?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.