Native Bible

Acts 4:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walikuwepo kuhani mkuu Anasi, Kayafa, Yohana, Iskanda, na wengi wa jamaa ya kuhani mkuu.

Acts 4:6 in English

Acts 4:6 · Berean Standard Bible

along with Annas the high priest, Caiaphas, John, Alexander, and many others from the high priest’s family.

Context

4Lakini wengi waliosikia lile neno waliamini, idadi yao ilikuwa yapata wanaume 5,000. 5Kesho yake, viongozi wa Kiyahudi, wazee na walimu wa sheria wakakusanyika Yerusalemu. 6Walikuwepo kuhani mkuu Anasi, Kayafa, Yohana, Iskanda, na wengi wa jamaa ya kuhani mkuu. 7Baada ya kuwasimamisha Petro na Yohana katikati yao, wakawauliza, “Ni kwa uwezo gani au kwa jina la nani mmefanya jambo hili?” 8Petro, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akajibu, “Enyi watawala na wazee wa watu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.