Native Bible

Acts 4:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakawakamata Petro na Yohana na kuwatia gerezani mpaka kesho yake kwa kuwa ilikuwa jioni.

Acts 4:3 in English

Acts 4:3 · Berean Standard Bible

They seized Peter and John, and because it was evening, they put them in custody until the next day.

Context

1Wakati Petro na Yohana walipokuwa wakisema na watu, makuhani, mkuu wa walinzi wa Hekalu na Masadukayo wakawajia, 2huku wakiwa wamekasirika sana kwa sababu mitume walikuwa wanawafundisha watu na kuhubiri kwamba kuna ufufuo wa wafu ndani ya Yesu. 3Wakawakamata Petro na Yohana na kuwatia gerezani mpaka kesho yake kwa kuwa ilikuwa jioni. 4Lakini wengi waliosikia lile neno waliamini, idadi yao ilikuwa yapata wanaume 5,000. 5Kesho yake, viongozi wa Kiyahudi, wazee na walimu wa sheria wakakusanyika Yerusalemu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.