Native Bible

Acts 3:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hivyo yule mtu akawatazama, akitazamia kupata kitu kutoka kwao.

Acts 3:5 in English

Acts 3:5 · Berean Standard Bible

So the man gave them his attention, expecting to receive something from them.

Context

3Huyu mtu alipowaona Petro na Yohana wakikaribia kuingia Hekaluni, akawaomba wampe sadaka. 4Wakamkazia macho, kisha Petro akamwambia, “Tutazame sisi.” 5Hivyo yule mtu akawatazama, akitazamia kupata kitu kutoka kwao. 6Ndipo Petro akamwambia, “Sina fedha wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, tembea!” 7Petro akamshika yule mtu kwa mkono wa kuume akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikapata nguvu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.