Native Bible

Acts 3:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Petro akamshika yule mtu kwa mkono wa kuume akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikapata nguvu.

Acts 3:7 in English

Acts 3:7 · Berean Standard Bible

Taking him by the right hand, Peter helped him up, and at once the man’s feet and ankles were made strong.

Context

5Hivyo yule mtu akawatazama, akitazamia kupata kitu kutoka kwao. 6Ndipo Petro akamwambia, “Sina fedha wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, tembea!” 7Petro akamshika yule mtu kwa mkono wa kuume akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikapata nguvu. 8Akaruka juu na kusimama, akaanza kutembea. Kisha akaingia Hekaluni pamoja na Petro na Yohana, huku akitembea na kurukaruka na kumsifu Mungu. 9Watu wote walipomwona akitembea na kumsifu Mungu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.