Native Bible

Acts 27:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo wakapima kina cha maji na kukuta kilikuwa pima ishirini,* baada ya kuendelea mbele kidogo wakapima tena wakapata kina cha pima kumi na tano.*

Acts 27:28 in English

Acts 27:28 · Berean Standard Bible

They took soundings and found that the water was twenty fathoms deep.* Going a little farther, they took another set of soundings that read fifteen fathoms.*

Context

26Lakini hata hivyo meli yetu itakwama kwenye kisiwa fulani.” 27Usiku wa kumi na nne ulipofika, tulikuwa bado tunasukumwa na upepo katika Bahari ya Adria. Ilipokuwa yapata usiku wa manane, mabaharia wakahisi kwamba walikuwa wanakaribia nchi kavu. 28Kwa hiyo wakapima kina cha maji na kukuta kilikuwa pima ishirini,* baada ya kuendelea mbele kidogo wakapima tena wakapata kina cha pima kumi na tano.* 29Wakiogopa kwamba meli yetu ingegonga kwenye miamba, wakashusha nanga nne za nyuma ya meli, wakawa wanaomba kupambazuke. 30Katika jaribio la kutoroka kutoka kwenye meli, mabaharia wakashusha mashua ya kuokolea watu baharini, wakijifanya kwamba wanakwenda kushusha nanga za omo.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.