Native Bible

Acts 27:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini hata hivyo meli yetu itakwama kwenye kisiwa fulani.”

Acts 27:26 in English

Acts 27:26 · Berean Standard Bible

However, we must run aground on some island.”

Context

24naye akasema, ‘Paulo usiogope, kwa kuwa ni lazima usimame mbele ya Kaisari, naye Mungu amekupa kwa neema uhai wa wote wanaosafiri pamoja nawe. 25Hivyo jipeni moyo, enyi watu, kwa kuwa ninamwamini Mungu kwamba yatakuwa kama vile alivyoniambia.’ 26Lakini hata hivyo meli yetu itakwama kwenye kisiwa fulani.” 27Usiku wa kumi na nne ulipofika, tulikuwa bado tunasukumwa na upepo katika Bahari ya Adria. Ilipokuwa yapata usiku wa manane, mabaharia wakahisi kwamba walikuwa wanakaribia nchi kavu. 28Kwa hiyo wakapima kina cha maji na kukuta kilikuwa pima ishirini,* baada ya kuendelea mbele kidogo wakapima tena wakapata kina cha pima kumi na tano.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.