Native Bible

Acts 21:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya kuagana, tukapanda melini, nao wakarudi majumbani mwao.

Acts 21:6 in English

Acts 21:6 · Berean Standard Bible

And after we had said our farewells, we went aboard the ship, and they returned home.

Context

4Baada ya kuwatafuta wanafunzi wa huko, tukakaa nao kwa siku saba. Wale wanafunzi wakiongozwa na Roho wakamwambia Paulo asiende Yerusalemu. 5Lakini muda wetu ulipokwisha, tukaondoka tukaendelea na safari yetu. Wale wanafunzi pamoja na wake zao na watoto wakatusindikiza hadi nje ya mji. Wote tukapiga magoti pale pwani tukaomba. 6Baada ya kuagana, tukapanda melini, nao wakarudi majumbani mwao. 7Tukaendelea na safari yetu toka Tiro tukafika Tolemai, tukawasalimu ndugu wa huko, tukakaa nao kwa siku moja. 8Siku iliyofuata tukaondoka, tukafika Kaisaria. Huko tukaenda nyumbani kwa mwinjilisti mmoja jina lake Filipo, aliyekuwa mmoja wa wale Saba, tukakaa kwake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.