Matendo 21:15
Acts 21:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baada ya haya, tukajiandaa, tukaondoka kwenda Yerusalemu.
Acts 21:15 in English
Acts 21:15 · Berean Standard Bible
After these days, we packed up and went on to Jerusalem.
Context
13Lakini Paulo akajibu, “Kwa nini mnalia na kunivunja moyo? Mimi niko tayari si kufungwa tu, bali hata kufa huko Yerusalemu kwa ajili ya jina la Bwana Yesu.” 14Alipokuwa hashawishiki, tukaacha kumsihi, tukasema, “Mapenzi ya Bwana na yatendeke.” 15Baada ya haya, tukajiandaa, tukaondoka kwenda Yerusalemu. 16Baadhi ya wanafunzi kutoka Kaisaria wakafuatana nasi na kutupeleka nyumbani kwa Mnasoni, ambaye tungekaa kwake. Yeye alikuwa mtu wa Kipro, mmoja wa wanafunzi wa zamani. 17Tulipofika Yerusalemu ndugu wakatukaribisha kwa furaha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.