Matendo 21:17
Acts 21:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tulipofika Yerusalemu ndugu wakatukaribisha kwa furaha.
Acts 21:17 in English
Acts 21:17 · Berean Standard Bible
When we arrived in Jerusalem, the brothers welcomed us joyfully.
Context
15Baada ya haya, tukajiandaa, tukaondoka kwenda Yerusalemu. 16Baadhi ya wanafunzi kutoka Kaisaria wakafuatana nasi na kutupeleka nyumbani kwa Mnasoni, ambaye tungekaa kwake. Yeye alikuwa mtu wa Kipro, mmoja wa wanafunzi wa zamani. 17Tulipofika Yerusalemu ndugu wakatukaribisha kwa furaha. 18Kesho yake Paulo pamoja na wengine wetu tulikwenda kumwona Yakobo, na wazee wote walikuwepo. 19Baada ya kuwasalimu, Paulo akatoa taarifa kamili ya mambo yote ambayo Mungu alikuwa amefanya miongoni mwa watu wa Mataifa kupitia huduma yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.