Matendo 2:21
Acts 2:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Na kila mtu atakayeliitia jina la Bwana, ataokolewa.’
Acts 2:21 in English
Acts 2:21 · Berean Standard Bible
And everyone who calls on the name of the Lord will be saved.’*
Context
19Nami nitaonyesha maajabu juu mbinguni,
na ishara chini duniani:
damu, moto, na mawimbi ya moshi. 20Jua litakuwa giza
na mwezi utakuwa mwekundu kama damu,
kabla ya kuja siku ile kuu ya Bwana
iliyo tukufu. 21Na kila mtu atakayeliitia
jina la Bwana, ataokolewa.’ 22“Enyi Waisraeli, sikilizeni maneno haya nisemayo: Yesu wa Nazareti alikuwa mtu aliyethibitishwa kwenu na Mungu kwa miujiza, maajabu na ishara, ambayo Mungu alitenda miongoni mwenu kupitia kwake, kama ninyi wenyewe mjuavyo. 23Huyu mtu akiisha kutolewa kwa shauri la Mungu lililokusudiwa kwa kujua kwake Mungu tangu zamani, ninyi, kwa mikono ya watu wabaya, mlimuua kwa kumgongomea msalabani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.