Matendo 19:7
Acts 19:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walikuwa kama wanaume kumi na wawili.
Acts 19:7 in English
Acts 19:7 · Berean Standard Bible
There were about twelve men in all.
Context
5Waliposikia haya, wakabatizwa katika jina la Bwana Yesu. 6Paulo alipoweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akawashukia, nao wakanena kwa lugha mpya na kutabiri. 7Walikuwa kama wanaume kumi na wawili. 8Paulo akaingia katika sinagogi na kunena humo kwa ujasiri kwa muda wa miezi mitatu, akijadiliana na watu na kuwashawishi katika mambo ya Ufalme wa Mungu. 9Lakini baadhi yao walikaidi. Walikataa kuamini, na wakakashifu ujumbe wake mbele ya umati wa watu. Basi Paulo aliachana nao. Akawachukua wanafunzi naye, akahojiana nao kila siku katika darasa la Tirano.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.