Matendo 19:6
Acts 19:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Paulo alipoweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akawashukia, nao wakanena kwa lugha mpya na kutabiri.
Acts 19:6 in English
Acts 19:6 · Berean Standard Bible
And when Paul laid his hands on them, the Holy Spirit came upon them, and they spoke in tongues and prophesied.
Context
4Paulo akasema, “Ubatizo wa Yohana ulikuwa wa toba, aliwaambia watu wamwamini yeye atakayekuja baada yake, yaani, Yesu.” 5Waliposikia haya, wakabatizwa katika jina la Bwana Yesu. 6Paulo alipoweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akawashukia, nao wakanena kwa lugha mpya na kutabiri. 7Walikuwa kama wanaume kumi na wawili. 8Paulo akaingia katika sinagogi na kunena humo kwa ujasiri kwa muda wa miezi mitatu, akijadiliana na watu na kuwashawishi katika mambo ya Ufalme wa Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.