Matendo 19:5
Acts 19:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Waliposikia haya, wakabatizwa katika jina la Bwana Yesu.
Acts 19:5 in English
Acts 19:5 · Berean Standard Bible
On hearing this, they were baptized into the name of the Lord Jesus.
Context
3Ndipo Paulo akawauliza, “Je, mlibatizwa kwa ubatizo gani?” Wakajibu, “Kwa ubatizo wa Yohana.” 4Paulo akasema, “Ubatizo wa Yohana ulikuwa wa toba, aliwaambia watu wamwamini yeye atakayekuja baada yake, yaani, Yesu.” 5Waliposikia haya, wakabatizwa katika jina la Bwana Yesu. 6Paulo alipoweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akawashukia, nao wakanena kwa lugha mpya na kutabiri. 7Walikuwa kama wanaume kumi na wawili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.