Matendo 16:7
Acts 16:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walipofika mpaka wa Misia, wakajaribu kuingia Bithinia lakini Roho wa Yesu hakuwaruhusu.
Acts 16:7 in English
Acts 16:7 · Berean Standard Bible
And when they came to the border of Mysia, they tried to enter Bithynia, but the Spirit of Jesus would not permit them.
Context
5Hivyo makanisa yakawa imara katika imani na kuongezeka kiidadi kila siku. 6Paulo pamoja na wenzake wakasafiri sehemu za Frigia na Galatia, kwa kuwa Roho Mtakatifu hakuwaruhusu kulihubiri neno huko Asia. 7Walipofika mpaka wa Misia, wakajaribu kuingia Bithinia lakini Roho wa Yesu hakuwaruhusu. 8Kwa hiyo wakapita Misia, wakafika Troa. 9Wakati wa usiku Paulo akaona maono, mtu wa Makedonia amesimama akimsihi, “Vuka uje huku Makedonia utusaidie.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.