Native Bible

Acts 16:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hivyo makanisa yakawa imara katika imani na kuongezeka kiidadi kila siku.

Acts 16:5 in English

Acts 16:5 · Berean Standard Bible

So the churches were strengthened in the faith and grew daily in numbers.

Context

3Paulo alitaka Timotheo afuatane naye, hivyo akamchukua na kumtahiri kwa sababu ya Wayahudi waliokuwa wanaishi eneo lile kwa maana wote walimjua baba yake ni Myunani. 4Walipokuwa wakienda mji kwa mji, wakawa wanawapa maamuzi yaliyotolewa na mitume na wazee huko Yerusalemu ili wayafuate. 5Hivyo makanisa yakawa imara katika imani na kuongezeka kiidadi kila siku. 6Paulo pamoja na wenzake wakasafiri sehemu za Frigia na Galatia, kwa kuwa Roho Mtakatifu hakuwaruhusu kulihubiri neno huko Asia. 7Walipofika mpaka wa Misia, wakajaribu kuingia Bithinia lakini Roho wa Yesu hakuwaruhusu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.