Native Bible

Acts 16:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Paulo pamoja na wenzake wakasafiri sehemu za Frigia na Galatia, kwa kuwa Roho Mtakatifu hakuwaruhusu kulihubiri neno huko Asia.

Acts 16:6 in English

Acts 16:6 · Berean Standard Bible

After the Holy Spirit had prevented them from speaking the word in the province of Asia,* they traveled through the region of Phrygia and Galatia.

Context

4Walipokuwa wakienda mji kwa mji, wakawa wanawapa maamuzi yaliyotolewa na mitume na wazee huko Yerusalemu ili wayafuate. 5Hivyo makanisa yakawa imara katika imani na kuongezeka kiidadi kila siku. 6Paulo pamoja na wenzake wakasafiri sehemu za Frigia na Galatia, kwa kuwa Roho Mtakatifu hakuwaruhusu kulihubiri neno huko Asia. 7Walipofika mpaka wa Misia, wakajaribu kuingia Bithinia lakini Roho wa Yesu hakuwaruhusu. 8Kwa hiyo wakapita Misia, wakafika Troa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.