Native Bible

Acts 16:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakamwambia neno la Bwana yeye pamoja na wote waliokuwako nyumbani mwake.

Acts 16:32 in English

Acts 16:32 · Berean Standard Bible

Then Paul and Silas spoke the word of the Lord to him and to everyone in his house.

Context

30Kisha akawaleta nje akisema, “Bwana zangu, nifanye nini nipate kuokoka?” 31Wakamjibu, “Mwamini Bwana Yesu Kristo, nawe utaokoka, pamoja na watu wa nyumbani mwako.” 32Wakamwambia neno la Bwana yeye pamoja na wote waliokuwako nyumbani mwake. 33Wakati ule ule, yule mkuu wa gereza akawachukua, akawaosha majeraha yao, kisha akabatizwa yeye pamoja na wote waliokuwa nyumbani mwake bila kuchelewa. 34Akawapandisha nyumbani mwake akawaandalia chakula, yeye pamoja na nyumba yake yote wakafurahi sana kwa kuwa sasa walikuwa wamemwamini Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.