Native Bible

Acts 16:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha akawaleta nje akisema, “Bwana zangu, nifanye nini nipate kuokoka?”

Acts 16:30 in English

Acts 16:30 · Berean Standard Bible

Then he brought them out and asked, “Sirs, what must I do to be saved?”

Context

28Lakini Paulo akapiga kelele kwa sauti kubwa, akasema, “Usijidhuru kwa maana sisi sote tuko hapa!” 29Yule askari wa gereza akaagiza taa ziletwe, akaingia ndani ya kile chumba cha gereza, akapiga magoti akitetemeka mbele ya Paulo na Sila. 30Kisha akawaleta nje akisema, “Bwana zangu, nifanye nini nipate kuokoka?” 31Wakamjibu, “Mwamini Bwana Yesu Kristo, nawe utaokoka, pamoja na watu wa nyumbani mwako.” 32Wakamwambia neno la Bwana yeye pamoja na wote waliokuwako nyumbani mwake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.