Matendo 15:35
Acts 15:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini Paulo na Barnaba walibaki Antiokia ambako wao pamoja na wengine wengi walifundisha na kuhubiri neno la Bwana.
Acts 15:35 in English
Acts 15:35 · Berean Standard Bible
But Paul and Barnabas remained at Antioch, along with many others, teaching and preaching the word of the Lord.
Context
33Baada ya kukaa huko Antiokia kwa muda, wakaagwa kwa amani na wale ndugu ili waende kwa wale waliowatuma. [ 34Lakini Sila bado akaendelea kukaa huko.] 35Lakini Paulo na Barnaba walibaki Antiokia ambako wao pamoja na wengine wengi walifundisha na kuhubiri neno la Bwana. 36Baada ya muda, Paulo akamwambia Barnaba, “Turudi tukawatembelee ndugu katika miji yote tuliyohubiri neno la Bwana tuone jinsi wanavyoendelea.” 37Barnaba alitaka wamchukue Yohana aitwaye Marko waende naye.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.