Matendo 11:2
Acts 11:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo Petro alipopanda Yerusalemu, wale wa tohara waliokuwa wameamini wakamshutumu,
Acts 11:2 in English
Acts 11:2 · Berean Standard Bible
So when Peter went up to Jerusalem, the circumcised believers * took issue with him
Context
1Mitume na ndugu walioamini waliokuwa huko Uyahudi wakasikia kuwa watu wa Mataifa nao wamepokea neno la Mungu. 2Hivyo Petro alipopanda Yerusalemu, wale wa tohara waliokuwa wameamini wakamshutumu, 3wakisema, “Ulikwenda kwa watu wasiotahiriwa na kula pamoja nao.” 4Ndipo Petro akaanza kuwaeleza kuhusu mambo yote yalivyotokea hatua kwa hatua akisema,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.