Native Bible

Acts 11:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mitume na ndugu walioamini waliokuwa huko Uyahudi wakasikia kuwa watu wa Mataifa nao wamepokea neno la Mungu.

Acts 11:1 in English

Acts 11:1 · Berean Standard Bible

The apostles and brothers throughout Judea soon heard that the Gentiles also had received the word of God.

Context

1Mitume na ndugu walioamini waliokuwa huko Uyahudi wakasikia kuwa watu wa Mataifa nao wamepokea neno la Mungu. 2Hivyo Petro alipopanda Yerusalemu, wale wa tohara waliokuwa wameamini wakamshutumu, 3wakisema, “Ulikwenda kwa watu wasiotahiriwa na kula pamoja nao.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.