Native Bible

Acts 10:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini katika kila taifa, kila mtu amchaye na kutenda yaliyo haki hukubaliwa naye.

Acts 10:35 in English

Acts 10:35 · Berean Standard Bible

but welcomes those from every nation who fear Him and do what is right.

Context

33Nilituma watu kwako mara moja, nawe umefanya vyema kuja. Basi sasa sisi sote tuko hapa mbele za Mungu kuyasikiliza yote ambayo Bwana amekuamuru kutuambia.” 34Ndipo Petro akafungua kinywa chake akasema, “Mungu hana upendeleo, 35Lakini katika kila taifa, kila mtu amchaye na kutenda yaliyo haki hukubaliwa naye. 36Ninyi mnajua ule ujumbe uliotumwa kwa Israeli, ukitangaza habari njema za amani kwa Yesu Kristo. Yeye ni Bwana wa wote. 37Mnajua yale yaliyotukia katika Uyahudi wote kuanzia Galilaya baada ya mahubiri ya Yohana Mbatizaji:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.