Matendo 10:34
Acts 10:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo Petro akafungua kinywa chake akasema, “Mungu hana upendeleo,
Acts 10:34 in English
Acts 10:34 · Berean Standard Bible
Then Peter began to speak: “I now truly understand that God does not show favoritism,
Context
32Basi tuma watu waende Yafa wakaulize mtu mmoja Simoni aitwaye Petro, yeye ni mgeni katika nyumba ya Simoni mtengenezaji ngozi, ambaye nyumba yake iko kando ya bahari.’ 33Nilituma watu kwako mara moja, nawe umefanya vyema kuja. Basi sasa sisi sote tuko hapa mbele za Mungu kuyasikiliza yote ambayo Bwana amekuamuru kutuambia.” 34Ndipo Petro akafungua kinywa chake akasema, “Mungu hana upendeleo, 35Lakini katika kila taifa, kila mtu amchaye na kutenda yaliyo haki hukubaliwa naye. 36Ninyi mnajua ule ujumbe uliotumwa kwa Israeli, ukitangaza habari njema za amani kwa Yesu Kristo. Yeye ni Bwana wa wote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.