Matendo 10:18
Acts 10:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakabisha hodi na kuuliza kama Simoni aliyeitwa Petro alikuwa anaishi hapo.
Acts 10:18 in English
Acts 10:18 · Berean Standard Bible
They called out to ask if Simon called Peter was staying there.
Context
16Jambo hili lilitokea mara tatu na ghafula ile nguo ikarudishwa mbinguni. 17Wakati Petro akiwa bado anajiuliza kuhusu maana ya maono haya, wale watu waliokuwa wametumwa na Kornelio wakaipata nyumba ya Simoni mtengenezaji wa ngozi wakawa wamesimama mbele ya lango. 18Wakabisha hodi na kuuliza kama Simoni aliyeitwa Petro alikuwa anaishi hapo. 19Wakati Petro akiwa anafikiria juu ya yale maono, Roho Mtakatifu akamwambia, “Simoni, wako watu watatu wanaokutafuta. 20Inuka na ushuke, usisite kwenda nao kwa kuwa mimi nimewatuma.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.