Matendo 1:21
Acts 1:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo inatubidi tumchague mtu mwingine miongoni mwa wale ambao wamekuwa pamoja nasi wakati wote Bwana Yesu alipoingia na kutoka katikati yenu,
Acts 1:21 in English
Acts 1:21 · Berean Standard Bible
Therefore it is necessary to choose one of the men who have accompanied us the whole time the Lord Jesus went in and out among us,
Context
19Kila mtu Yerusalemu akasikia habari hizi, kwa hiyo wakapaita mahali hapo kwa lugha yao, Akeldama, yaani Shamba la Damu). 20“Kama vile ilivyoandikwa katika kitabu cha Zaburi,
“ ‘Mahali pake na pawe ukiwa,
wala asiwepo yeyote atakayeishi humo,’
na,
“ ‘Mtu mwingine aichukue nafasi yake ya uongozi.’ 21Kwa hiyo inatubidi tumchague mtu mwingine miongoni mwa wale ambao wamekuwa pamoja nasi wakati wote Bwana Yesu alipoingia na kutoka katikati yenu, 22kuanzia ubatizo wa Yohana mpaka siku aliyochukuliwa kutoka kwetu kwenda Mbinguni. Kwa kuwa mmoja wao inabidi awe shahidi pamoja nasi wa ufufuo wake.” 23Wakapendekeza majina ya watu wawili: Yosefu, aitwaye Barsaba (ambaye pia alijulikana kama Yusto) na Mathiya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.