Native Bible

3 Yohana 1:15

Swahili· Change

3 John 1:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amani iwe kwako. Rafiki zetu walioko hapa wanakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu walioko huko, kila mmoja kwa jina lake.

Context

13Ninayo mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kuandika kwa kalamu na wino. 14Badala yake, nataraji kukuona upesi, nasi tutaongea pamoja ana kwa ana. 15Amani iwe kwako. Rafiki zetu walioko hapa wanakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu walioko huko, kila mmoja kwa jina lake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.