3 Yohana 1:14
3 John 1:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Badala yake, nataraji kukuona upesi, nasi tutaongea pamoja ana kwa ana.
3 John 1:14 in English
3 John 1:14 · Berean Standard Bible
Instead, I hope to see you soon and speak with you face to face.* Peace to you. The friends here send you greetings. Greet each of our friends there by name.
Context
12Kila mtu ameshuhudia mema kuhusu Demetrio, vivyo hivyo hata na hiyo kweli yenyewe. Sisi pia twashuhudia mema juu yake, nanyi mwajua kwamba ushuhuda wetu ni kweli. 13Ninayo mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kuandika kwa kalamu na wino. 14Badala yake, nataraji kukuona upesi, nasi tutaongea pamoja ana kwa ana. 15Amani iwe kwako. Rafiki zetu walioko hapa wanakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu walioko huko, kila mmoja kwa jina lake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.