2 Timotheo 4:19
2 Timothy 4:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wasalimu Prisila* na Akila, na wote wa nyumbani kwa Onesiforo.
2 Timothy 4:19 in English
2 Timothy 4:19 · Berean Standard Bible
Greet Prisca * and Aquila, as well as the household of Onesiphorus.
Context
17Lakini Bwana alisimama upande wangu akanitia nguvu, ili kupitia kwangu lile Neno lihubiriwe kwa ukamilifu, watu wote Mataifa wapate kulisikia. Mimi niliokolewa kutoka kinywa cha simba. 18Bwana ataniokoa katika kila shambulio baya na kunileta salama katika Ufalme wake wa mbinguni. Atukuzwe yeye milele na milele. Amen. 19Wasalimu Prisila* na Akila, na wote wa nyumbani kwa Onesiforo. 20Erasto alibaki Korintho. Nami nikamwacha Trofimo huko Mileto akiwa mgonjwa. 21Jitahidi ufike huku kabla ya majira ya baridi. Eubulo anakusalimu, vivyo hivyo Pude, Lino, Klaudia na ndugu wote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.