Native Bible

2 Timothy 4:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Erasto alibaki Korintho. Nami nikamwacha Trofimo huko Mileto akiwa mgonjwa.

2 Timothy 4:20 in English

2 Timothy 4:20 · Berean Standard Bible

Erastus has remained at Corinth, and Trophimus I left sick in Miletus.

Context

18Bwana ataniokoa katika kila shambulio baya na kunileta salama katika Ufalme wake wa mbinguni. Atukuzwe yeye milele na milele. Amen. 19Wasalimu Prisila* na Akila, na wote wa nyumbani kwa Onesiforo. 20Erasto alibaki Korintho. Nami nikamwacha Trofimo huko Mileto akiwa mgonjwa. 21Jitahidi ufike huku kabla ya majira ya baridi. Eubulo anakusalimu, vivyo hivyo Pude, Lino, Klaudia na ndugu wote. 22Bwana awe pamoja na roho yako. Neema iwe pamoja nanyi. Amen.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.