Native Bible

2 Timothy 1:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa Timotheo, mwanangu mpendwa: Neema, rehema na amani itokayo kwa Mungu Baba, na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.

2 Timothy 1:2 in English

2 Timothy 1:2 · Berean Standard Bible

To Timothy, my beloved child: Grace, mercy, and peace from God the Father and Christ Jesus our Lord.

Context

1Paulo mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, kulingana na ile ahadi ya uzima uliomo ndani ya Kristo Yesu. 2Kwa Timotheo, mwanangu mpendwa: Neema, rehema na amani itokayo kwa Mungu Baba, na kwa Kristo Yesu Bwana wetu. 3Ninamshukuru Mungu, ninayemtumikia kwa dhamiri safi, kama walivyofanya baba zangu, ninapokukumbuka usiku na mchana katika maombi yangu. 4Nikiyakumbuka machozi yako, ninatamani sana kukuona ili nipate kujawa na furaha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.