Native Bible

2 Thessalonians 3:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana aiongoze mioyo yenu katika upendo wa Mungu na katika saburi ya Kristo.

2 Thessalonians 3:5 in English

2 Thessalonians 3:5 · Berean Standard Bible

May the Lord direct your hearts into God’s love and Christ’s perseverance.

Context

3Lakini Bwana ni mwaminifu, naye atawaimarisha ninyi na kuwalinda kutokana na yule mwovu. 4Nasi tuna tumaini katika Bwana ya kuwa mnafanya na mtaendelea kufanya yale tuliyowaagiza. 5Bwana aiongoze mioyo yenu katika upendo wa Mungu na katika saburi ya Kristo. 6Ndugu, tunawaagiza katika Jina la Bwana Yesu Kristo, jitengeni na kila ndugu ambaye ni mvivu na ambaye haishi kufuatana na maagizo tuliyowapa. 7Maana ninyi wenyewe mnajua jinsi iwapasavyo kufuata mfano wetu. Sisi hatukuwa wavivu tulipokuwa pamoja nanyi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.