Native Bible

2 Thessalonians 3:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nasi tuna tumaini katika Bwana ya kuwa mnafanya na mtaendelea kufanya yale tuliyowaagiza.

2 Thessalonians 3:4 in English

2 Thessalonians 3:4 · Berean Standard Bible

And we have confidence in the Lord that you are doing and will continue to do what we command.

Context

2Ombeni pia ili tupate kuokolewa kutokana na watu waovu na wabaya, kwa maana si wote wanaoamini. 3Lakini Bwana ni mwaminifu, naye atawaimarisha ninyi na kuwalinda kutokana na yule mwovu. 4Nasi tuna tumaini katika Bwana ya kuwa mnafanya na mtaendelea kufanya yale tuliyowaagiza. 5Bwana aiongoze mioyo yenu katika upendo wa Mungu na katika saburi ya Kristo. 6Ndugu, tunawaagiza katika Jina la Bwana Yesu Kristo, jitengeni na kila ndugu ambaye ni mvivu na ambaye haishi kufuatana na maagizo tuliyowapa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.