Native Bible

2 Thessalonians 2:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na wahukumiwe wote ambao hawakuiamini ile kweli, bali wamefurahia uovu.

2 Thessalonians 2:12 in English

2 Thessalonians 2:12 · Berean Standard Bible

in order that judgment may come upon all who have disbelieved the truth and delighted in wickedness.

Context

10na kila aina ya uovu kwa wale wanaoangamia kwa sababu walikataa kuipenda kweli wapate kuokolewa. 11Kwa sababu hii, Mungu ameruhusu watawaliwe na nguvu ya udanganyifu, ili waendelee kuamini uongo, 12na wahukumiwe wote ambao hawakuiamini ile kweli, bali wamefurahia uovu. 13Lakini imetupasa sisi kumshukuru Mungu daima kwa ajili yenu, ndugu mpendwao na Bwana, kwa sababu Mungu aliwachagua ninyi tangu mwanzo ili mwokolewe kwa kutakaswa na Roho kwa kuiamini kweli. 14Kwa kusudi hili Mungu aliwaita kwa njia ya kuhubiri kwetu Injili, ili mpate kushiriki katika utukufu wa Bwana Yesu Kristo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.