2 Wathesalonike 2:10
2 Thessalonians 2:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na kila aina ya uovu kwa wale wanaoangamia kwa sababu walikataa kuipenda kweli wapate kuokolewa.
2 Thessalonians 2:10 in English
2 Thessalonians 2:10 · Berean Standard Bible
and with every wicked deception directed against those who are perishing, because they refused the love of the truth that would have saved them.
Context
8Hapo ndipo yule mwasi atafunuliwa, ambaye Bwana Yesu atamteketeza kwa pumzi ya kinywa chake na kumwangamiza kabisa kwa utukufu wa kuja kwake. 9Kuja kwa yule mwasi kutaonekana kana kwamba ni kutenda kazi kwake Shetani ambaye hutumia nguvu zote, ishara, maajabu ya uongo, 10na kila aina ya uovu kwa wale wanaoangamia kwa sababu walikataa kuipenda kweli wapate kuokolewa. 11Kwa sababu hii, Mungu ameruhusu watawaliwe na nguvu ya udanganyifu, ili waendelee kuamini uongo, 12na wahukumiwe wote ambao hawakuiamini ile kweli, bali wamefurahia uovu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.